Miradi

Katika Maonesho ya Expo2020 Dubai, Tanzania imepeleka miradi mbalimbali ya nishati, miundombinu, utalii na uchukuzi kwa lengo la kutangaza mafanikio ya Serikali ya Tanzania na kuvutia Wabia na Wawekezaji